.

.

PROFESSOR JAY ALIKUWA MOJA YA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MKE WA AFANDE SELE ”MAMA TUNDA” MKOANI MOROGORO

Mfalme wa Ryhmes, Afande Sele amesindikizwa na mamia ya wakazi wa mkoa wa Morogoro pamoja na baadhi ya wasanii wenzake akiwemo Joseph Haule ”Prof Jay” na Rais wa Shirikisho la Filamu, Simon Mwakifwamba kwenye mazishi ya mama watoto wake aliyezikwa kwenye makaburi ya Kolla mkoani Morogoro. Tazama Picha za mazishi hapo chini..

Sheikh akisoma dua kwa ajili ya marehemu mama Tunda kabla ya kwenda kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele
Sheikh akisoma dua kwa ajili ya marehemu mama Tunda kabla ya kwenda kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele
Rais wa Shirikisho la Filamu TAF, Simon Mwakifwamba akimfariji Afande Sele
Rais wa Shirikisho la Filamu TAF, Simon Mwakifwamba akimfariji Afande Sele
Afande Sele akiwa amembeba mtoto wake wa pili Asantesana
Afande Sele akiwa amembeba mtoto wake wa pili Asantesana

Afande Sele alkilia kwa uchungu wakati wakielekea kwenye kumzika mama watoto wake pembeni yake ni Professor Jay 

Afande Sele alkilia kwa uchungu wakati wakielekea kwenye kumzika mama watoto wake pembeni yake ni Professor Jay
Afande Sele akiwa udongo kwenye kaburi la Mama Tunda
Afande Sele akiweka udongo kwenye kaburi la Mama Tunda
Afande Sele akishuhudia mwili wa mkewe ukiwekwa kaburini
                                                                   Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen.
                                                                                                                                   
Newer Post
Previous
This is the last post.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: PROFESSOR JAY ALIKUWA MOJA YA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MKE WA AFANDE SELE ”MAMA TUNDA” MKOANI MOROGORO Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top