Jose Chamilione na Prof Jay @Maisha Club Tubonge Show 2014 DSM Live Performance
Bonge moja ya show lilio kutanisha Dk na Prof wa muziki toka Africa mashariki liliofanyika ndani ya Maisha club,huku Joseph Aule na Jose chamilione wakitetendea haki vyeo vyao katika muziki kwa kuwapa watu burudani kubwa ya aina yake.
0 comments:
Post a Comment