SHAA kwenye jukwaa full kusugua gaga |
Mgodi unaotembea Prof jay alitetembea nakufika leaders club |
Amani ilitawala |
Big man KIm /Dj kim na Prof jay |
wakurugenzi wa Tigo waki badilishana mawili matatu ndani ya chumba cha VIP |
Mmoja wa mameneja wa tigo na Msanii Prof Jay |
hehehe le selfeee{Tbway 360 mtangazaji wa Eatv na msanii Prof Jay} |
Ben Paul alikuepo kumtafuta Sofia ...... |
Best hip hop Dj Mavuvu |
DON Koliombi huyu ni mmoja wa sanii waliopata shangwe nyingi kwa umahiri alioonyesha juukwani akiwa bega kwa bega na Prof Jay |
Mwana F A akipongezana na Professor Jay ndani ya chumba V I P |
Salama Jabir ndani |
Alikiba ndani |
Diamond ndani
Ay na mwana Fa walifanya yao juu ya jukwahili huku wakiweka historia ya kufikisha miaka kuminatano ya wawili hao kufanya show ya pamoja.![]() |
Picha na Eli ulomi wa Profesajay.com |
0 comments:
Post a Comment